dah samahani mzee, nilipoona kodi nikasahau kusoma maandishi mengine.Ipo Makongo Juu. Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, store, garage, uzio, kodi shs 750,000/- kwa mwezi. kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
anataka kodi ya mwaka? 750,000x12= 9,000,000. na wewe 750,000.
Kweli maisha yamepanda. yaani nyumba ya kupanga unalipa 25,000 a day.
Hivi kama wewe ni mfanya kazi wa kawaida utatoa wapi 9m. kolipa kodi at once.
Naona serikali itusaidie hapa kwenye kolipa kodi kwa mwaka.
Mbona wenzetu kenya wanalipa monthly?

bongo haina chochote cha kimataifa mkuuStandard za kimataifa ni miezi mitatu na si zaidi ya hapa!huku bongo tunapelekeshana tu!!
Inaweza kuwa quick turnover lakini si profit. Mkuu wewe ofisi zako zipo wapi? Upo registered?Pembeni ya hiyo nyumba kuna nyumba mbili kama hiyo zina wapangaji tayari.Pitia upya mtazamo wako. Biashara ya upangishaji nyumba ni biashara nzuri sana nadhani ni nzuri hizo unaziida zenye quick turnover. Huko Masaki unatakiwa uwe na mtaji mkubwa kuliko makongo, mikocheni au sinza. Kuna plot ninaziuza huko zenye ukubwa wa sqm 2000 kwa USD 1mil.