Nyumba/kiwanja ya kununua

Nyumba/kiwanja ya kununua

GDK

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Habari wana JF? Nahitaji nyumba ya kununua iwe Mbezi ya beach/Juu,Tegeta,Boko,Bunju na Mbweni.Mwenye taarifa anisaidie tafadhali.Vyumba vitatu,master,dinning na iwe na uwanja kubwa na kiwe na document zinanzojitosheleza.Budget 65mil.Mwenye kiwanja pia maeneo hayo ntashukuru.
 
kuna dalali humu anaitwa kitomai aliweka tangazo nyumba bunju in paper zote kwa mil 55, ukimpata na kama utapata mie nifikirie tu ela ya soda, nakutania mkuu, cheki na huyo kitomai
 
Habari wana JF? Nahitaji nyumba ya kununua iwe Mbezi ya beach/Juu,Tegeta,Boko,Bunju na Mbweni.Mwenye taarifa anisaidie tafadhali.Vyumba vitatu,master,dinning na iwe na uwanja kubwa na kiwe na document zinanzojitosheleza.Budget 65mil.Mwenye kiwanja pia maeneo hayo ntashukuru.

kuna moja nauza, imepauliwa, bado kuwekwa madirisha na milango tu! Ipo kwenye uwanja wa mita 20 kwa 30 ipo saranga temboni. 30 million
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom