unanunua kabisa alafu huhamii mpaka mambo yakae sawa,uzuri nyumba haiozi,alafu hata hao wauaji hawana historia ya kuua wananchi wa kawaida kama wewe sio afisa usalama ama kiongozi wa sisiemu huna haja ya kuwa na wasiwasi,changamkia fursa hyo mkuu,mi nmepata eneo kule bei chee,ila pakija kutulia nitauza bei nzuri sana,kila tatizo huja na milango ya fursa.Mhhh!hadi kukitulia huko
wengine walishauza mkuu,wajanja tumepata maeneo kwa bei nafuu.Jeshi la Polisi kupitia kwa Msemaji wake Ndg Mwakalukwa alisema maeneo yote hayo ni shwari tulivu na Maadui wameshasbaratishwa so msiuze Mali na Samani zenu kwa Bei ya kutupwa