Nyumba inauzwa.

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,064
286

Ipo Mbezi Malamba Mawili.

Ina vyumba vitatu kimoja self contained, sebure, jiko,

ina uzio,umeme n.k

Bei 50/-mil. Jitahidi kuwai.

Kwa mawasiliano piga simu 0717114409,

0784 225 000, 0755312233
 

Attachments

 • DSC06264.JPG
  DSC06264.JPG
  46.7 KB · Views: 184
 • DSC06265.JPG
  DSC06265.JPG
  32.4 KB · Views: 155
 • DSC06272.JPG
  DSC06272.JPG
  40.6 KB · Views: 142
 • DSC06271.JPG
  DSC06271.JPG
  42.7 KB · Views: 155
 • DSC06274.JPG
  DSC06274.JPG
  57.6 KB · Views: 146
 • DSC06275.JPG
  DSC06275.JPG
  50.1 KB · Views: 145
 • DSC06278.JPG
  DSC06278.JPG
  21.2 KB · Views: 131
Haiuziki kwa bei hiyo ndugu yangu...labda ingekuwa Mbezi Beach.... Malamba mawili kwa Wakole???
Harafu design ni zile za miaka ya 70's.

 
Inahitajika pesa haraka kwa ajili ya matumizi mengineyo na njia pekee kwa sasa iliyopo ni kuuza hiyo nyumba. "kifaacho mtu chake'". Muuzaji ana nyumba zaidi ya moja. Akiiuza hii hatahathirika kwa kukosa makaazi ya kuishi.
 
Usijari nyumba za urithi zinauzwa sana na zinauzika mimi binafsi nimeshauza. Hivyo nina uzoefu wa kutosha kukitetea ninachokijua. Kariakoo yote imejaa nyumba za urithi na kila siku watu wanaziuza. Hiyo siyo ya urithi na hata kama ingekua hivyo bado inauzika.
 
mimi pia nina wasiwasi hapo, halafu hujasema kama ina hati zake zote au ni zile za kienyeji?
 
Old is Gold. Leo watu wanapiga zilipendwa. Pia kuna nyumba zilipendwa na watu wanazinunua kila siku. Tuulize sisi tulio katika hii industry tukujuze
 
Mara ya mwisho umetembelea lini Malamba Mawili? Kuna mijengo ya kisasa huko. Nimeambatanisha picha ya atakayekua jirani yako ikiwa utainunua hiyo nyumba. Kuna nyumba nyingi zimejengwa vizuri katika mandhari nzuri za vilima na miinuko. Kuna miundo mbinu ya barabara inayoonganisha Mbezi ya kimara na Airport. Na hivi kapatikana Magufuli wai mapema kununua kabla hiyo barabara haijatiwa rami.
 

Attachments

 • DSC06263.JPG
  DSC06263.JPG
  41.6 KB · Views: 146
hiyo nyumba nikienda kusalimia maramba lazima nipite hapo,napajua fika,hiyo nyumba inayouzwa sio ya urithi,alikua anaishi mama mmoja na binti zake sasa hivi wamehamia ktk nyumba yao huko huko maramba,hilo ghorofa ulilolionyesha bado liko ktk ujenzi wenyewe bado hawajahamia bado nafikiri.maramba kuzuri kiasi chake,umeme umeshafika wapi kwa sasa?
 
kitomai wasikusumbue hao wapiga debe,walasi wahitaji wahitaji watakutafuta ndugu
 
hiyo nyumba nikienda kusalimia maramba lazima nipite hapo,napajua fika,hiyo nyumba inayouzwa sio ya urithi,alikua anaishi mama mmoja na binti zake sasa hivi wamehamia ktk nyumba yao huko huko maramba,hilo ghorofa ulilolionyesha bado liko ktk ujenzi wenyewe bado hawajahamia bado nafikiri.maramba kuzuri kiasi chake,umeme umeshafika wapi kwa sasa?

nimefurai kufahamu unaijua maramba 2 viwili ila tangu nije uko sijayaona hayo matawi 2
 
NYUMBA INAUZWA IPO SINZA KIJIWENI =DAR ES SALAAM barabara ya Shekilango pia kuna fremu za biashara katika nyumba hiyo hiyo ! BEI MILIONI MIA NNE TU (Maongezi yapo) Kama una hela ya kununua au kuna mtu unaemjua na anahitaji piga namba hiyo ya mhusika 0718-462515
 
nyumba ya urithi hiyo.take care!
take care na nn.....nyumba za urithi zinauzwa kila siku chief ukitaka kufanya biashara na nyumba ya urithi nenda kamalizane nao mahakamani ndiyo wanavyo fanya...mtu kudhulumiwa ni kutaka mwenyewe sana sana wale wanao jifanya walaliaji ktk manunuzi ya mijengo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom