Mmang'ati
Senior Member
- Jan 8, 2011
- 184
- 49
Duh hizi bei!!!=%==_¥
Jamani hebu tujaribu kumpa ushauri angalau aiuze shilingi ngapi?Kweli kaka yaani watu wanakurupuka na bei za ajabu ajabu wakati bei za viwanja na gharama za ujenzi zinajulikana, Labda kwenye foundation za hizo nyumba kuna mgodi wa dhahabu
Jamani hebu tujaribu kumpa ushauri angalau aiuze shilingi ngapi?
Kweli kaka yaani watu wanakurupuka na bei za ajabu ajabu wakati bei za viwanja na gharama za ujenzi zinajulikana, Labda kwenye foundation za hizo nyumba kuna mgodi wa dhahabu
wamaanisha nn kwa hizo silabi mkuu?