Weka picha, ukubwa wa nyumba na elezea vyumba na vitu vingine kama dining, jiko, n.k. Je maji na umeme vipo, inafikika kwa urahisi, je ina hati kiwanj, je kiwanja cha ukubwa gani n.k!!! Je pana uswazi au pamepangika, not zigzag housing plan!!
Kiwanja ni kikubwa na hati ipo maji na umeme vipo mtaa umetulia haswa geti kwa geti kiwanja ni kikubwa kina wapangaji sita kila mmoja ana vyumba viwili vya kulala sitting na choo na jiko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.