Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
89
Reaction score
31
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu kabisa na kituo cha Msongola
: Ina eneo kubwa la wazi mbele na nyuma
BEI : Milioni AROBAINI NA TANO (45,000,000)

MAWASILIANO: 0654 743 825

MS004.jpgMS011.jpgMS009.jpgMS006.jpgMS005.jpgMS007.jpgMS008.jpgMS013.jpg
 
Mbona picha hazijatosha? Imekaa kama shule vile,weka picha vizuri ionekane yote kwa kila upande wanunuaji wapo tu,
 
Duh,nyumba au treni.
Bei kubwa sana na mjengo wa zamani kweli kweli.
Labda mtu afungue Guest House au Hospital.
Mie 25m nikupe leo leo
 
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu kabisa na kituo cha Msongola
: Ina eneo kubwa la wazi mbele na nyuma
BEI : Milioni AROBAINI NA TANO (45,000,000)

MAWASILIANO: 0654 743 825

View attachment 124261View attachment 124262

Ni bweni ama??
 
sad_eyes.... username yako na avator yako inathibitisha we ni mtu wa aina gani... Karibu tufanye biashara kama unataka kuifanya bweni.
 
Mbona picha hazijatosha? Imekaa kama shule vile,weka picha vizuri ionekane yote kwa kila upande wanunuaji wapo tu,

Unaweza kunitafuta kwa njia simu nikupeleke ukaione kwa uhalisi zaidi nadhani itakuwa njema mkuu.
 
Duh,nyumba au treni.
Bei kubwa sana na mjengo wa zamani kweli kweli.
Labda mtu afungue Guest House au Hospital.
Mie 25m nikupe leo leo

Ni nyumba mkuu wala sio treni, ndo uwezo wetu ulipoishia ambapo Mungu alitujalia tukafanikiwa kujenga hivyo. Kwa waliojenga nyumba au wenye ujuzi na masuala ya ujenzi wanajua kuwa kwa hali ya mazingira ya leo bei hiyo inaendana na nyumba ilivyo. Kufungua Guest au Hospital ni hiyari ya mnunuzi, hata nyumba nyingi za kupanga maeneo mbalimbali zipo ktk mfumo huu na kwa sasa zinauzwa kwa bei kubwa sana. 25M hailipi mkuu jichange zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom