Nyumba ya vyumba 10 ilimalizika kujengwa mwezi November mwaka jana inauzwa (ni miongoni mwa nyumba 36 zilizojengwa na serikali kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto).Ipo Kata ya Msongola, Mtaa wa Yangeyange, Block F, Plot namba 19, Eneo lina ukubwa wa sqm 546, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar Es Salaam. Ina Leseni ya makazi, ina uneo kubwa la wazi mbele na nyuma, ina umeme na upatikanaji wa maji, ipo barabarani, na ipo km chache kutoka kituo cha mabasi cha Chanika. Bei ni Tsh 65,000,000/- . Kwa wanaohitaji, tafadhali tuwasiliane kupitia namba zifuatazo:
0654 743 825 / 0767 633 968 / 0654 008812 / 0686 936 444
0654 743 825 / 0767 633 968 / 0654 008812 / 0686 936 444