Picha iko wapiNyumba ipo mbezi makabe dar ,inauzwa inaeneo kubwa na zipo mbili yaan nyumba kubwa na ndogo sehem moja na eneo kubwa unaweza hata kujenga nyumba nyngne eneo bei 100m
Hizi ndio mil 100? Sawa
Acha porojo, we nunua nyumba uweke flat screen ..Hadi Leo mna tv ya chogo