Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

kongomboli

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
156
Reaction score
35
Ina vyumba 5 na eneo lenye ukubwa wa zaidi ya nusu ekari,nyumba ipo temeke mikoroshini.Ina umeme na maji pia location nzuri sana- barabarani
Bei Tshs 35 mil
piga 0757895112,0715467447
 
Ina vyumba 5 na eneo lenye ukubwa wa zaidi ya nusu ekari,nyumba ipo temeke mikoroshini.Ina umeme na maji pia location nzuri sana- barabarani
Bei Tshs 35 mil
piga 0757895112,0715467447

Temeke, plus eneo la nusu ecre! 35M!!!? Haina mgogoro wa kifamily kweli hiyo?
 
Haina mgogoro nyie msiharibu biashara za watu, kama huna pesa kaa kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom