Hiyo sio nyumba ya kuuza kwa bei hiyo aisee,Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,,
Maeneo meko ya tegeta mbuyuni kwa mbele DSM,,
Hata kwa hivyo ulivovitaja bado hiyo bei unayouzia ni kubwa sana aisee, Yaani nyunba ambayo haijaisha unauza bei sawa na nyunba iliyoisha?Bei gani imeandikwa,,nyumba ya mbele ni room tatu na master na sebule na dinning,ila haijaisha,,na eneo ni kubwa,, na mbele kuna fremu ya duka pia inatumika
Huyo kwenye avatar ni wewe mkuu?!Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,,
Maeneo meko ya tegeta mbuyuni kwa mbele DSM,,
Punguza kidogo tufanye biashara nimeipenda...Bei gani imeandikwa,,nyumba ya mbele ni room tatu na master na sebule na dinning,ila haijaisha,,na eneo ni kubwa,, na mbele kuna fremu ya duka pia inatumika
Mkuu jiongeze, ujumbe unaofikishiwa hapo ni kuwa weka bei na picha.Bei gani imeandikwa,,nyumba ya mbele ni room tatu na master na sebule na dinning,ila haijaisha,,na eneo ni kubwa,, na mbele kuna fremu ya duka pia inatumika
Mbona hilo bati limeoza. Na huo ufa hapo jamani kwa bei hiyo. Hem punguza kidogo basi hata milioni 10 walau.Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,,
Maeneo meko ya tegeta mbuyuni kwa mbele DSM,,