Hii ni nyumba?
You are not serious. Je unadhani kwa tangazo hili utapata mnunuzi?Nyumba inauzwa inavyumba sita ipo mtoni mtongani mtaa wa msikiti mweupe M 58
Nimecheka Jamani.................!!!! Looooh hapa pa Dunia aaaah mweeee...........!!! wenzenu hiyo ni NYUMBA Nyie mwaona KOROKOCHO...................!!!!!😀😀😀😀........Hii ni nyumba?
Aseme tu anauza kiwanjaNimecheka Jamani.................!!!! Looooh hapa pa Dunia aaaah mweeee...........!!! wenzenu hiyo ni NYUMBA Nyie mwaona KOROKOCHO...................!!!!!😀😀😀😀........
Na hyo jogoo bei gani au anauzwa pamoja na hyo nyumba
Mkuu atasemaje Kiwanja wakati mnaiona hiyo Nyumba........!!!?? wewe ukinunua vunja then jenga uitakayo............Aseme tu anauza kiwanja
Hapana ni ZiziHii ni nyumba?