Mil. 50 itapendeza.
Mbona mimi sioni picha jamani!!!Nyumba nzuri, hongera
Weka 100Mil. 50 itapendeza.
Unatumia tecnoMbona mimi sioni picha jamani!!!
Kitochi.Unatumia tecno
Shemeji kumbe siko peke yangu... maana nimeangalia mpaka nyuma ya PC yangu sijaambulia kituMbona mimi sioni picha jamani!!!
Fanya setting kwenye tecno wereva uingie mnadani ha haMbona mimi sioni picha jamani!!!
Ndo hii apa mkuuShemeji kumbe siko peke yangu... maana nimeangalia mpaka nyuma ya PC yangu sijaambulia kitu
Mia tisa itapendeza...Ndo hii apa mkuu