Acha kutumia Bangi na Viroba,akili yako itakuwa nzuri.
Kwa kutazama tu uelewa wako unaonesha ata elimu yako ni ndogo,kwaiyo kayika tangazo langu wewe umeona hilo tu.Mbona kuna mwenzio kaelewa na tumeshafanya biashara tayari.Someni shule vijana watz acheni uhuni wa kijinga.Ahahahahah sasa mkuu we unasema nyumba ipo barabarani hivi miaka yetu hii utapata kweli mtu wa kununua nyumba ilioko barabarani....afu kweli mitaa yenu ina traffic jam sana...we kwanini ulijenga barabarani...au uliona barabara ni viwanja wazi tu havina wenyewe ahahahhah nimekusoma idea yako...aahahhaa bora ungejenga kwenye uwanja wa mpira.
Kwa kutazama tu uelewa wako unaonesha ata elimu yako ni ndogo,kwaiyo kayika tangazo langu wewe umeona hilo tu.Mbona kuna mwenzio kaelewa na tumeshafanya biashara tayari.Someni shule vijana watz acheni uhuni wa kijinga.
Ina vyumba viwili,sebule na choo ndani.Ipo barabarani.Bei 35 milioni.0754 856277
ahahahha next time when you are advertising something..make it clear and straightforward...logically i wanted to show you how small things vinaweza kuku cost kufanya business...sema nyumba iko karibu na barabara...sio nyumba iko barabarani...lucky you kama umepata mteja tayari lakini i'm sure there are lots who lost their interest due to the phrase.everyone knows dar iko katika plan ya kupanua barabara zake now you are telling people unauza nyumba ilioko barabarani.come on....