House4Sale Nyumba inauzwa Tsh. Mil. 28 Tabata Migombani

Kuna Nini hapo??, yaonyesha wewe ni tabibu mbobezi, je humo ndani Kuna paka weusi na wekundu au popo bawa watoa bikra za jinsia zote nyakati za usiku.
Hajui lolote ni kujitia ujuwaji tu! Nyumba ipo Tabata, inawapangaji vyumba vyote haina shida yoyote arafu yeye analeta utani wa kitoto
 
Kuna watu wanakuja DM na kuongea as if mimi ni dalali, naomba niweke wazi hapa, mimi nauza hiyo nyumba tu. Siyo dalali na sina mali nyingine yyte ninayo uza humu ama pahala pengine. Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom