Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,363
he is not serious labda kama alikuwa anamaanisha mil 20, na sio mil 200, unajua n imerudia tarakim karibu mara saba nikidhani labda nakosea...na hiyo nyumba ni kama nahifahamu hivi mahali iliko ngoja nipite niione tena ...lol, lakini hata mil 40 huuzi
Hata mimi hiyo nyumba kama naifahamu, ukiwa unatokea Segarea unakwenda Njia Panda ukishuka bonde lile la Segerea upande kushoto kwa juu kuna nyuma kama hiyo ipo kilimani kwa mbali inaonekana vizuri sana lakini kwa haina thamani ya bei hiyo anataka jamaa kama nitakuwa sijakosea.