Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
517
Reaction score
407
Nyumba inauzwa Tabata.
Mahali: Misewe B, Liwiti.

Sifa za nyumba:
•Ina vyumba vya kulala 3 na master 1.
•Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo.
•Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa.
•Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr.
•Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti inayotosha kufulia, kuanika nguo na kupumzika.
•Usafiri wa gari na bajaji haufiki mpaka kwenye nyumba, pikipiki inafika.

Ukubwa wa Eneo: SQM 312.
Nyaraka: Hati ya serikali ya mtaa.
Bei: Tzs Milioni 55. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited
 
Attachments

  • 8b4ab375-8c97-473d-a63f-37bb06d556cf_0_watermark.jpeg
    8b4ab375-8c97-473d-a63f-37bb06d556cf_0_watermark.jpeg
    319.3 KB · Views: 26
Kila heri kaka,

Nje ya mada, kwann nitoe 55M kama gari halifiki ?
 
Nyumba inauzwa Tabata.
Mahali: Misewe B, Liwiti.

Sifa za nyumba:
•Ina vyumba vya kulala 3 na master 1.
•Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo.
•Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa.
•Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr.
•Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti inayotosha kufulia, kuanika nguo na kupumzika.
•Usafiri wa gari na bajaji haufiki mpaka kwenye nyumba, pikipiki inafika.

Ukubwa wa Eneo: SQM 312.
Nyaraka: Hati ya serikali ya mtaa.
Bei: Tzs Milioni 55. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited
Mkuu, kiukweli kama barabara haifiki kwenye Nyumba punguza hiyo bei. Hapo parefu sana, utakuja kuuza nusu yake au ukipewa 30M chukua bila kujishauri
 
Mkuu, kiukweli kama barabara haifiki kwenye Nyumba punguza hiyo bei. Hapo parefu sana, utakuja kuuza nusu yake au ukipewa 30M chukua bila kujishauri
Sawa nitamshauri mwenye nyumba.
 
Sema unawinda hela ya kupeleka watu shenzy kabisa nyie ma dalali matapel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom