House4Sale Nyumba inauzwa Tabata Bonyokwa

DalaliMsomi

Member
Feb 8, 2019
85
114
NYUMBA INAUZWA

MAELEZO
Ni nyumba ya vyumba vinne(1 master bedroom).
Pia ina;
-Dinning
-Sitting
-jiko
-store
-Public toilet
-uwanja kubwa kwa ajili ya parking.

UKUBWA WA ENEO
30*20(sqm 600)

DOCUMENTS
Eneo lipo kwenye upimaji(urasimishaji)

LOCATION
Tabata bonyokwa kisiwani.

NEIGHBOURHOOD(MTAA)
Kumejengeka vizuri sana

HALI YA NYUMBA
Ni mpya lakini bado haijamaliziwa.
Kwasasa watu wanaishi.

UMBALI
Dakika 5 kutoka barabara kuu ya tabata-kimara.

HUDUMA ZA KIJAMII
-Maji
-umeme
(Vyote vipo)

BEI
Tsh milion 65 tu.
(Mazungumzo yapo)

MAWASILIANO.
FIKA OFISINI KWA DALALIMSOMI SINZA LEGHO OPPOSITE YA KIWANDA CHA KAHAWA(TANICA).
Simu&whatsapp
0673540985
0765532858

SULUHISHO YA UTAPELI WA ARDHI NI KUNUNUA NYUMBA AU KIWANJA NA DALALI MSOMI.
KWASABABU KABLA NYUMBA HAIJAUZWA NA DALALIMSOMI LAZIMA IKAGULIWE NA WANASHERIA NA WAPIMA ARDHI KUTOKA OFISINI KWA DALALIMSOMI.
TUNAUZA NYUMBA ZA UHALALI NAZA UHAKIKA.
IMG-20191109-WA0038.jpeg
IMG-20191109-WA0036.jpeg
IMG-20191109-WA0042.jpeg
 
milioni 65 ? zama za uncle magu..

hata nusu yake 30m kuuza sio shuhuli ndogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom