Nyumba inauzwa Sinza Mori - Hakuna Dalali

Nyumba inauzwa Sinza Mori - Hakuna Dalali

Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
10,703
Reaction score
11,812
Nyumba inauzwa Sinza Mori. Anaehitaji ani-PM.

Madalali marufuku. Kuni contact uwe mnunuaji sio mtu wa kati.
 
Duh!! Zote ni njaa sawa hatukatai. Ili hii ya kwako komesha.
 
Weka kila kitu hapa..... manake naona dalili zote za utapeli....bei tu hujataja...
 
Nyumba inauzwa Sinza Mori. Anaehitaji ani-PM.

Madalali marufuku. Kuni contact uwe mnunuaji sio mtu wa kati.

Kwa masharti hayo unaweza kukaa nayo mda mrefu kabla hujaiuza
 
Haina haraka kiasi hicho kuuza. Ni ya mdogo wangu anaehitaji ani-PM nimpe namba wawasiliane wamalizane. Mimi siwez kuwa middle man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom