Nauza haraka nyumba yenye vyumba vitatu ambayo ipo kwenye eneo kubwa la mita 35 kwa 30 Chanika mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. Umeme upo. Bei sh. Mil. 13, haipungui. Unaweza kuikarabati nyumba, kuongeza ukubwa au kujenga nyingine hapo hapo. Kwa anayehitaji piga simu namba 0715 597591