Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,137
- 364
Nyumba ipo Pwani, Manispaa ya Kibaha, Bokotimiza (kilomita 4 toka Tumbi Hospital ina vyumba 4, iko kwenye ekali 2, umeme uko karibu sana pamoja na maji ya kuvuta,Kuna miti ya matunda kama miembe korosho na pia miti ya vivuli imepandwa pale.Bei 135mil Mawasiliano +-255755312233 or info@kitomai.com