MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
wakuu ---- nyumba inauzwa milioni miambili ipo dar salaam, wilaya ya kinondon, kata ya kawe,mtaa wa ukwamani. ina vyumba sita, ina vyumba vya uwani vinne, ina fremu moja ya biashara, ipo katika hari nzur sana. ni mita 500 kutoka barabarani. gari linafika mpaka mlangoni. wadau tuchangamkie hili dili kwani 5% ni ya sis madalali. kwa maelezo zaid ni pm ili nikupe mawasiliano yangu. natafuta kamera ili niwaletee picha.