Nyumba inauzwa million 15

Nyumba inauzwa million 15

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,881
Reaction score
3,188
Nyumba ya vyumba viwili na mbele kuna fremu tatu za biashara zilizopo karibu na barabara, ni pazuri pa biashara. Ipo Kivule Dar es salaam nyuma ya jengo la aviation kwa mbele kilomita kadhaa tu unaweza kuja kupaona, ni pm nikupe namba.
 
nyumba ya vyumba viwili na mbele kuna frem tatu za biashara zilizopo karibu na barabara ni pazuri pa biashara ipo kivule dar es salaam nyuma ya jengo la aviation kwa mbele kilomita kadhaa tu unaweza kuja kupaona ni pm nikupe namba

Mmmmmh. Na uzi kama huu unawekwa kwenye jukwaa la siasa?
 
Nyumba ya vyumba viwili na mbele kuna fremu tatu za biashara zilizopo karibu na barabara, ni pazuri pa biashara. Ipo Kivule Dar es salaam nyuma ya jengo la aviation kwa mbele kilomita kadhaa tu unaweza kuja kupaona, ni pm nikupe namba.
weka namba hyo mkuu tena fanya haraka bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom