Erick kg
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 314
- 73
Nyumba ambayo haijamalizika inauzwa iko maeneo ya tabata segerea maeneo ya sanene mtaa wa ugombolwa ina sifa zifuatazo. Ina vyumba vya kulala 5 na chumba cha kusomea watoto,masterbedroom, public toilet, dinning, kitchen na sebule kubwa kwa maelezo zaidi 0717 022737