NYUMBA INAUZWA- MILI 150; buguruni rozana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NYUMBA INAUZWA- MILI 150; buguruni rozana

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mrekebishaji, Apr 29, 2011.

 1. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kwa mawasiliano na maelezo zaidi, piga 0784 419030
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mrekebishaji....weka tangazo vizuri!!
  Hiyo nyuma ipo buguruni eneo lipi?? Jirani na nini?? Ni ya kisasa ama??
   
 3. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ukitoka buguruni sokoni unaenda kko. baada ya soko kuna flat(ghorofa), halafu kuna barabara inaingia kulia kwako; ukiingia nyumba ipo karibu na barabara, kimsingi ni eneo zuri kwa kujenga nyumba nyingine ya biashara, iliyopo imechoka, kama mjuavyo nyumba za wenyeji wetu hapo zilivyo.
   
Loading...