Nyumba inauzwa Mil.25

Nyumba inauzwa Mil.25

Ipo eneo ambalo maji/mafuriko hayafiki.?
Picha, exactly eneo.?
 
Nyumba imejengwa rom 3 na 1sittingroom...
Pia sababu ipo kwnye barabara mtaan kaweka kifrem nje.. pia maji yanasimama simama wakati wa mvua.. Sababu ni barabaran unaweza weka ukarabati labda kuchimba yateremke barabarani yasisimame hapo
 
Hilo eneo sio linatakiwa kubomolewa kweli??
 
Haliwezi kubomolewa mkuu maana halipo kwnye barabara kuu.. Ni mtaani
 
Stuka!! Kinondoni shamba sweet home of mafuriko in kinondoni that why unaona nyumba inauzwa kwa bei ya Hiece.
 
Uzuri wa kiwanja hupimwa wakati wa mvua jamani changamkieni offer hyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom