Nyumba inauzwa mil.10

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,565
1,911
NYUMBA IKIWA NA KIWANJA CHAKE UKUBWA 42 KWA 35 INA CHUMBA CHA KULALA,JIKO,CHOO,SEBULE imepauliwa nusu, kuna migomba, maji yapo jirani kiwanja hakijapimwa bt kuna makaz ya watu,ipo mpakan mwa kibaha na kisarawe panaitwa soga,unapta morogoro road unaingilia kongowe serious buyer pm,mi ndo mmiliki nauza sababu nahamia mwanza kikazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom