Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,544
- 1,819
Wadau habar.
Kama title ilivo ni kuwa kuna nyumba inauzwa maeneo ya Mbweni JKT,bei ni tshs 200mil (upungufu unaongea).ina vyumba 5 na viwili kati ya hvyo ni master bedrooms. Ina squaremeter 900.
Kwa mawasiliano nitafte kwa namba 0717478451.naambatanisha na picha zake hapa wadau.
Pia kama kuna wadau wengine wanahitaj nyumba za kupanga/kupangisha au kuuza na kununua, vyumba,mashamba,fremu.naomba tuwasiliane kwa namba hyo hapo.asanteni.