Nyumba inauzwa mbezi mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa mbezi mwisho

Discussion in 'Matangazo madogo' started by avint, Aug 5, 2012.

 1. a

  avint Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa yeyote anayehitaji nyumba ipon mbezi mwisho (mbezi ya kimara) ina hati.

  nyumba ni kubwa ina vyumba vitatu vya kulala,
  sebule ya kutosha, jiko, choo bafu ndani.
  ina kiwanja kikubwa nje ambacho unaweza kujenga nyumba kubwa nyingine kama utahitaji,
  iko barabarani umbali wa dakika 10 kwa miguu.

  bei 45milioni maongezi yapo.

  mawasiliano 0769445329
  0718483502
  0716104040
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  picha muhimu jamani
   
Loading...