Kinyongolo
Member
- Mar 2, 2016
- 7
- 0
0718108188
0759441313
0685110666
Nyumba zinauzwa au nyumba inauzwa? Naona kama picha mbili tofauti.View attachment 422844 View attachment 422845 NYUMBA INAUZWA MBEYA MJINI,SOKOMATOLA BARABARA YA KWANZA JIRANI NA KANISA MORAVIAN KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA ZIFUATAZO:-
0718108188
0759441313
0685110666
Bei inaanzia milioni 120 ila maelewano yapo.bei mpaka tupige simu? au wewe ni dalali!!!?
Nyumba ni moja,upande wa mbele ni huo wa barabarani walipokaa watu na huo mwingine ni upande mmoja mkuu.Nyumba zinauzwa au nyumba inauzwa? Naona kama picha mbili tofauti.
Inaanzia shilingi milioni 120 ila maelewano yapo.weka bei Sio tupige simu kuanza kuulizia beI
Mbona bei kubwa sana nyumba yenyewe inaonekana ya kizamani!Bei inaanzia milioni 120 ila maelewano yapo.
Basi ichukue kwa milioni 120 mkuu.Punguza bei mkuu laki tisa nyingi sana
Doh!milion 120 unanua nyumba mbeya tena nyumba kama pagala!Inaanzia shilingi milioni 120 ila maelewano yapo.
Nyumba ya ml 120 iko wapi hapo?Bei inaanzia milioni 120 ila maelewano yapo.