Nyumba inauzwa Magu

Nyumba inauzwa Magu

Xidian

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
503
Reaction score
149
Nyumba inauzwa Mwanza Magu yenye sifa zifuatazo;
vyumba 2 vya kawaida vya kulala
Vyumba 2 vyenye master bed room
Chumba cha study room
Sitting room
Dinning room
Kitchen
Nyumba imejengwa kwenye kiwanja kilichopimwa na tayari kina hati miliki(title deed)
BEI:MILIONI 25 TU(25,000,000)
 
Nyumba inauzwa
Sitting room
Dinning room
Kitchen
Nyumba imejengwa kwenye kiwanja kilichopimwa na tayari kina hati miliki(title deed)
BEI:MILIONI 25 TU(25,000,000)
njoo nayo kigamboni niinunue!
 
Ukubwa wa kiwanja tafadhari, eneo gani hapo magu? na picha ukiweka itasaidia sana
 
Najaribu kuweka picha lakini inashindikana, kwa mtu aliye na WhatsApp naweza mtumia maramoja, so just inbox me au tuma namba yako maramoja.
 
Nyumba ni kubwa sana, yaani ukiona picha zake huwezi wala ukafikiria kuinunua.
Eneo ni sqm 700
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom