Nyumba inauzwa M/nyamala

Nyumba inauzwa M/nyamala

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habari wana jamvi,
Kuna nyumba inauzwa maeneo ya mwananyamala kwa kopa,ipo kwenye eneo zuri haliingii maji na bei ni shilingi million themanini (80000000) kwa yeyote aliye tayar naomba ani pm au anipigye kupitia namba 0788562816
 
Picha mkuu,
ikiwezekana na vibibi vya jirani vitokee.
 
Picha mkuu,
ikiwezekana na vibibi vya jirani vitokee.

Kwa bahati mbaya kwa sasa hivi sikufanikiwa kuipiga picha Ila kama upo tayar tunaweza tuka wasiliana ukaja kuiona
 
Jamaaaan kweli nimekosa mteja wa nyumba kweli?
 
mtu akiona picha aanavutiwa ndipo anatakutafuta mkuu weka picha
 
Nyumba ina hati? Au magumashi? Unapokuwa unauza vitu vya bei ghali lazima uwe makini sana kwenye tangazo lako. Sio unaweka tangazo kama unauza maandazi au vitumbua, kweli milion 80 bila hata maelezo ya nyumba, bila picha? Eeee ...lol
 
Nyumba inakila kitu aiseeeee hati na inshu ya picha ni ndogo sema nashndwa coz nakosa muda kutokana na muda na kubanwa na shughuli
 
Back
Top Bottom