Nyumba inauzwa / kupangisha

Nyumba inauzwa / kupangisha

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,513
ninauza/kupangisha banda langu ambalo lipo dar es salaam maeneo ya kongowe-toangoma. Lipo karibu na barabara kuu iendayo kigamboni. Kutoka kongowe unashuka kituo cha sako ni kituo kama cha 6 kutoka kongowe.
Ukishuka hapo kituoni sako ni nyumba ya pili kutoka kituoni nyuma ya ofisi ya mtendaji kata toangoma.

Bei yangu ni tsh 60,000,000/= maongezi yapo.

Mawasiliano : 0715 003004 au 0754 400301

nb: Kupanga ni 100,000/= kwa mwezi. Malipo kwa mwaka au miezi sita.

NYUMBA 3 ROOMS.jpg
RAMANI ILIYOKUWEPO MWANZO NIMEIBADILISHA. HIYO YA SASA NDIO ILIVYO KWA SASA
 

Attachments

  • 3-bed-house-floor-plan_large_640_wm.jpg
    3-bed-house-floor-plan_large_640_wm.jpg
    55.3 KB · Views: 259
Wewe utakuwa watani zangu wahaya!!!! maana wakisema kabanda basi ujue ni kaghorofa. Hivi hiyo utulity room ndiyo public toilet na bathroom? ramani imeviweka kusiko kabisa. Uko wapi kwa sasa? i.e unakoishi?
 
Post bure kwenye website ya "www.dalali .co.tz" na uuze/upangishe fasta!

Mods kwa nini msimpige ban huyu jamaa?? au kama vipi fanyeni filtering ya hiyo keyword yake kila akiandika -------------- itokee [*******] ataacha mwenyewe.
 
mods kwa nini msimpige ban huyu jamaa?? Au kama vipi fanyeni filtering ya hiyo keyword yake kila akiandika -------------- itokee [*******] ataacha mwenyewe.

unamsema nani bwa don?
 
Mods kwa nini msimpige ban huyu jamaa?? au kama vipi fanyeni filtering ya hiyo keyword yake kila akiandika -------------- itokee [*******] ataacha mwenyewe.

Mweeeeee :A S-confused1:!!! kumbe mshafanya, now naona anaweka space, pigeni ban tu account zake.
 
Nafikiri na yeye anatafuta chochote. Muache ajitangaze ikiwa kama anatumia uhuru wake bila kuvunja taratibu za wengineo.
 
+ kaka Somoche , maana jamaa badala ya picha yanyumba yake kaweka ramani!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom