dip pub
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 389
- 74
- Thread starter
- #21
Ukijibu hivi hutaiuza........simply waeleweshe watu kwa nini unaiuza bei hiyo. Jaribu kueleza:
- Ukubwa wa kiwanja
- Neighborhood ya nyumba
- Maji umeme kama vinapatikana
- Ni mpya ama imeshatumika
- Umejenka mwenyewe au kwa contarctor
- Umeiweka kama bond bank
- Ina hati au haina
ndugu yangu majibu ya maswali yako yote yapo hapo kwenye picha,angalia vizuri