stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 604
- 1,236
Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba dsm nyumba ina vyumba 3 chumba kimoja masta sebule jiko sehem ya kulia chakula choo public inauzwa ml 67 nicheki whatsap 0743 257 669
Mpe 30m. Siyo mbayaKama hii nyumba ni milion 67
Basi spacio yangu ni harrier.
Ila mnavyotaja hela nyingi utafkiri Mnazo 😅Mpe 30m. Siyo mbaya
HahahahahaIla mnavyotaja hela nyingi utafkiri Mnazo 😅
Kwa hiyo wewe unataka utoe "afu" kumi kwa hilo bonge la house!?Ila mnavyotaja hela nyingi utafkiri Mnazo 😅
Hapana, nyumba ni nzuri sana tu, lakini mkuu unavyoitaja Millioni 30 ni kama haujaitendea haki, hiyo ni Millioni 30 sio 30m.Kwa hiyo wewe unataka utoe "afu" kumi kwa hilo bonge la house!?