Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
509
Reaction score
401
Nyumba Inauzwa Kimara.
Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja.

Sifa za Nyumba:
•Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro.
•Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko.
•Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi.
•Ina eneo kubwa mbele.
•Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba.

Ukubwa Wa Eneo: SQM 400.
Nyaraka: Hati ya Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa.
Bei: Tzs Milioni 55. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited

1cad6c89-38f3-4f55-b23d-98493972c78d_0_watermark.jpeg
 
Yako umeweka 15, mwenye nyumba anataka 35 urgently, wacha tamaa, ama niweke hapa namba zake hadharani???
Weka mkuu,usikute dharura yake hata 20 tu anachukua chap.....maana kuna nyumba pale Karibu na Halmashari ya Ubungo,dalali alitangaza mil 65 baada ya kupenya penya mwenye nyumba walikuwa wanaachana na mkewe,na walitaka mil 35 tu,wakala 25 chap tu na ilikuwa na hati na square meters 630
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom