DESCRIPTION:
Ni nyumba ya vyumba vitatu kimoja ni master room,pia ina dinning,sitting,public toilet na parking
Eneo lina sqm 2000 zikiwa zimegawanywa sqm 1ooo kwa ajili ya makazi na sqm 1000 ni mabwawa matatu ya kufugia samaki
Na huu mradi wa samaki unafanya kazi na samaki zinauzwa
Imezungushiwa fensi yote
SERVICES;
maji ya dawasco na umeme wa tanesco
LOCATION;
nyumba ipo kigamboni karibia na nyumba za dege au za NHC
BEI;
Tsh milion 235/mazungumzo yapo
DOCUMENTS:
ina hati miliki kabisa
MAWASILIANO:
Simu au whatapp (0673540985 au 0765532858)
Mi huwa sifanyi hicho kitu ndo maana wanajamiiforum ndo wateja wangu wakubwa na ndo wananitumia kazi yani nyumba zao niiuze na huwa nauza kwa bei elekezi ya mteja lakini pia huwa nawashauri kuhusu bei
Karibu sana mkuu
235 MILIONI HAPANA kwa kuangalia kwenye picha hio inaweza anzia kati ya 75 milioni na 120 ila zaidi ya hapo i doubt labda utupe taarifa zaidi kuhusu mradi wa samaki
235 MILIONI HAPANA kwa kuangalia kwenye picha hio inaweza anzia kati ya 75 milioni na 120 ila zaidi ya hapo i doubt labda utupe taarifa zaidi kuhusu mradi wa samaki