Nyumba inauzwa keko Mil. 5

Nyumba inauzwa keko Mil. 5

Enny

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
962
Reaction score
131
Banda linauzwa inauzwa Keko Toroli, mil.5

Kama upo interested ni PM
 
Hapo kuna utata, kiwanja keko toroli si chini ya milioni 20.
 
weka picha, tuithaminishe.

Mimi siyo muuzaji na wala siyo dalali, ila niletewa habari na jirani wa hapo panapouzwa aliniambia kama nataka nikaangalie. Nilienda kuangalia ila sina hela hiyo kwa sasa nina majukumu mengine. Ndio nikaona niwajulishe wana JF.
 
sasa kwa nini tuku PM wewe? weka namba ya huyo mtu hapa.
 
Title yako inasema nyumba inauzwa keko ml. 5, ukiingia ndani unakutana na "Banda linauzwa inauzwa Keko Toroli, mil.5". Au Banda ni nyumba?
 
Ha ha haahaaaa ingekuwa Wabongo wote tuna scrutinize vitu namna hii mbona tungeendelea
 
Simu inaitaaaaa haipokelewi du hii biashara kweli?
 
hatimae nimefika ni banda zuri kama vyumba vitatu na kana fasi ka hatua 5 kwa tano(mita) lakini iko katikati ya nyumba nyingine
kufika hapo ni uchochoro,si mbaya kama uanazo unanunua unakarabati na kupangisha! nendeni kama mna hela
 
Waambie wasisahau kwenda kuulizia na Bili za umeme, usishangae deni la mil 20.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom