Nyumba inauzwa Kawe Beach

Mkuu ninayo moja hivi iko mbezi beach maeneo ya Jangwani beach

Size plot 3500 sqm

Ndani kuna nyumba 3 moja ya ghrofa na nyingine za kawaida

Ila nyumba ni za mda kidogo zinahitaji matengenezo

Bei 420m

Ni pazuri Sana

Nataka niamini unaifahamu vyema na unaongea na Mmiliki moja kwa moja.

Tafadhali Nitumie ujumbe/WhatsApp:+255714591548.
Tuyajenge.
 
Kwa macho tu ni zaidi ya sqm 1200.....
 
Kipigo cha yanga kimenivurugha nilivyoona haraka haraka nikadhani $45000 kidogo nishobokee dundo ingawa hata nayo sina [emoji16]

Kila la heri mkuu ila kwa usawa huu wa msosi tu mtu unapiga counter attack mornie to night labda kina Mo ndo wanaweza
 
Vp kipindi cha mvua hakuna mafuriko?.....ila mgefanya nusu ya bei yako...ingekuwa nafuu.
 
Kipigo cha yanga kimenivurugha nilivyoona haraka haraka nikadhani $45000 kidogo nishobokee dundo ingawa hata nayo sina [emoji16]

Kila la heri mkuu ila kwa usawa huu wa msosi tu mtu unapiga counter attack mornie to night labda kina Mo ndo wanaweza
Hahaa umetisha mkuu
 
Jamani mnaotaka kujua n Tsh ngapi

kitu kinauzwa 1,036,125,004 Tsh

ki ukweli siwezi hata kusoma hiyo hela sijui namba

Niacheni kwanza
Hapo unakuta dream house yako ni ya milioni 50. Sasa hiyo ishazidi milioni 999.
 
Usawa huu kwa bei Hiyo mkuu si tukija kununua tunajichongea kwa Mkulu?
Sasahivi tutakuwa wahuju uchumi.
Ngoja tuzichimbie kwanza $$ zetu tusome upepo kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…