Nyumba inauzwa kariakoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa kariakoo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ameir, Mar 15, 2012.

 1. A

  Ameir JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Habari wana JF.. Natafuta mnunuzi wa nyumba, iko kariakoo mtaa wa nyarung'ombe na ndanda.. Nyumba ni kubwa na iko kwenye corner.. Mimi ni mjukuu wa mwenye nyumba..
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Unauza milioni mia ngapi?
   
 3. A

  Ameir JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Tsh 750 million.. Considering ukubwa wa nyumba yenyewe na the fact iko kwenye corner hii bei ni bargain sana.
   
 4. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mbona bei chini sana hiyo?.Ina migogoro
   
 5. a

  arinaswi Senior Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  unayo hati ya hiyo nyumba??
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ina title deed na size gani(sq meter)?
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wenzetu mna bahati mnakula urithi wa babu,bado na wa baba utakula!
   
 8. A

  Ameir JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Hati ndio inayo. Tume imeshughulikiwa recently, ilikua haina.. Ilikua ina makaratasi tu ya ununuzi kati ya babu yangu na yule aliemuuzia miaka ya sabini..
   
 9. A

  Ameir JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  The plan was kuingia ubia na mjenzi,lakini naona mzee kabadili mawazo..
   
Loading...