kopiko4444
Member
- Sep 8, 2021
- 14
- 6
Kwa kariakoo ndo bei zake ,hakuna cha kushangaaBillion 1 nanunua apartments nchi yoyote ulaya au Marekani napangisha Mambo saafi.
Sasa hicho kichaka hapo ndio uuze billion 2
Yani mtu uweke bilion 2 sehemu ambapo hakuna mfumo wa Fire , Mitaa mibovu! Sewage system mbovu.Kwa kariakoo ndo bei zake ,hakuna cha kushangaa
Shukran mkuuSema kiwanja kinauzwa kariakoo
Asante kwa mawazo yako mkuuBillion 1 nanunua apartments nchi yoyote ulaya au Marekani napangisha Mambo saafi.
Sasa hicho kichaka hapo ndio uuze billion 2
Fikra nzur mkuuYani mtu uweke bilion 2 sehemu ambapo hakuna mfumo wa Fire , Mitaa mibovu! Sewage system mbovu.
Tembeeni muone , Marekani unanunua Majumba kwa hiyo hela miji mizuri unakula Kodi vizazi na vizazi.
Hahahahhaha sawa mkuuHahahaha!! Labda unamaanisha billion 2 ya zimbabwe
tatizo la tanzania madalali wengi,unaweza kuta wapo madalali kibao kila mmoja anaongeza chakeYani mtu uweke bilion 2 sehemu ambapo hakuna mfumo wa Fire , Mitaa mibovu! Sewage system mbovu.
Tembeeni muone , Marekani unanunua Majumba kwa hiyo hela miji mizuri unakula Kodi vizazi na vizazi.
billioni 2 eti kwa sababu mjini,natoa millioni 50 naenda bush nanunua mahekta na hekta naweka ranchShukran mkuu
Wewe ni tapeliHiyo Ni nyumba yangu naiuza mil 300...nashangaa kuikuta huku inauzwa bil2
Fikra nzur mkuubillioni 2 eti kwa sababu mjini,natoa millioni 50 naenda bush nanunua mahekta na hekta naweka ranch
Swadaktatatizo la tanzania madalali wengi,unaweza kuta wapo madalali kibao kila mmoja anaongeza chake
Maongezi yapo mkuuUza kwa bei rafiki, lasivyo jiji litakuhamisha kwa hasara katika mambo ya mipango miji.