teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Nina kiwanja kizuri kipo maeneo ya nyakato nyasubi chenye nyumba mbili za nyuma, nyumba moja ina vyumba viwili na sebule na ya pili ina vyumba vinne pia pana eneo la kutosha kwa ajili ya nyumba ya mbele, maji yapo umeme nguzo ipo hapo ni kiwanja cha kwenye kona, wasiliana nami kwa 0769688646 au 0684247989.
Note: sijaweka picha sina utaalamu huo.
Note: sijaweka picha sina utaalamu huo.