INAUZWA Nyumba inauzwa Iringa Municipal

Habari bila picha ni sawa na chai bila sukari. Pia ni vizuri kutaja vitu muhimu kama maji je yapo jirani au umeme je unapatikana karibu na kiwanja kama kimepimwa na kina hati au vipi , je mawasiliano ya barabara yapo mpaka nyumbani au hakina n.k.. Weka maelezo hayo na mengine utakayoona ni muhimu yakiambatana na bei, watu hali nguvu tunanunua data tu lakini kupiga tunabip , je unaruhusu kubipiwa?
 
mkuu kwa sasa nipo mbali kazini.
'Huduma ya umeme ipo jirani ila maji yapo mbali kidogo.
kuhusu miundombinu ya usafiri ni bora hadi mlangoni.
ina vyumba vitano vya ndani na viwili vya nje.
mawasiliano unaweza tuma SMS kwa namba husika hapo juu utapigiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom