Nyumba inauzwa ipo kisesa mwanza

Massa

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
679
848
ImageUploadedByJamiiForums1455462797.300639.jpg
 
Nauza nyumba yangu ipo kisesa mwanza
Sababu ni nahamia mbeya kikazi na ndo nyumbani hivyo sioni sababu ya kua na nyumba mwanza.
Bei ni milion 25 nakupa na mabati 110 ina eneo kubwa la wazi kwa mbele. Kiwanja hakijapimwa. Mwenye kuitaji anipm tuwasiliane kwa pm.
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja kikubwa chenye bafu na choo ndani. Na kuna choo cha ndani public.
 
Back
Top Bottom