Nyumba inauzwa; ipo Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa; ipo Arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Zipuwawa, Jan 22, 2011.

 1. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Nyumba ipo mbauda kwa Mrombo ina vyumba 4 vya kulala vyumba viwili ni self, kuna public toilet, dinning, sitting kitchen na store. inalo eneo kubwa kwa mbele ya nyumba kutengeneza garden na kwa nyuma unaweza jenga servant couter pia kuna choo cha nje pitlatrin.
  bei ni million 90 lakini ni negotiable. KAMA KUNA YEYOTE ANAYEHITAJI ANAWEZA KUNI PM.

  Picha za nyumba hiyo ni hizo hapo angalia na uthamanishe mwenyewe.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  picha hazionekani ziweke vizuri
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ngoja niziweke Vizuri asante
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  IMGP1547.JPG
  (1809KB) IMGP1548.JPG
  (1747KB) IMGP1549.JPG
  (1789KB)[​IMG]

  [​IMG]
   
 6. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  bado mkuu kuna kitu unakosea ziweke kwenye desktop alafu upload kwa kutumia kitufe cha ku-upload
   
 8. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwangu mbona naziona flesh? then nimefanya hivyo
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  bado mkuu kwani unafanyaje labda kuna sehemu unakosea picha zipo wapi kwenye pc au labda ni mimi peke yangu ila tunaomba wengine mnaoangalia mtwambie kama mnaona picha m_kishuri nakuona hapo chini je wewe unaona picha?
   
 11. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ngoja nipate kwa wengine kama wanaziona
   
 12. Mama Subi

  Mama Subi Member

  #12
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Picha hazionekani mkuu!
   
 13. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hata mimi nimeshindwa kuziona na sipo tanzania
   
 14. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ngoja niziweke vizuri then nitarudia hili tangazo
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hapa naona sasa picha zinaonekana au bado?
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  mkuu am sorry kusema bado nadhani labda option nyingine ziupload hapa Welcome to Flickr - Photo Sharing alafu huku utoe link watu waweze kuangalia wenyewe au mtumie mod link akwambie ni nini umekosea au Ivuga cause yeye huwa anaupload sana pics probably atakusaidia
   
 17. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Imemtumia najua ataziweka samahani kwa usumbufu mkuu
   
 18. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Vipi ina hati miliki? Mbona inaonekana ghofu?
   
 19. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  naziona kabisa picha
  twashukuru kwa taarifa hii lol
   
 20. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  naziona kabisa picha
  twashukuru kwa taarifa hii lol
   
Loading...