Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
508
Reaction score
401
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.

Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli.
*Ina vyumba vitatu vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule, jiko na choo cha ndani.
*Ina nafasi iliyobaki nje.
*Ina umeme na maji.

Ukubwa wa Eneo: SQM 500.
Bei: Tzs Milioni 85.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya serikali ya mtaa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate
 

Attachments

  • d5a8d777-7ff4-4dcc-a9a7-cf5629d417f0_0_watermark.jpeg
    159 KB · Views: 1

Hivi haya maeneo ya Parokia ya Mt Bikira Maria Imakulata ni Goba pale au Mbezi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…