Nyumba inauzwa Chanika

Nyumba inauzwa Chanika

kkarumekenge

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
1,708
Reaction score
1,030
Nyumba moja kubwa yenye vyumba vinne (vyote self-contained) inauzwa. Ipo Chanika, Masantula. Ina nyumba ndogo ya uani yenye vyumba vitatu, viwili vinatumia sebule moja. Nyumba hiyo imo katika eneo la mita 60 kwa 54. Ina umeme, kisima cha maji na mabada mawili ya kufugia kuku. Eneo lake lina migomba, mipapai na mipera. Nyumba ya uani ina stoo mbili na choo. Ni karibu na barabara,mita 500. Mnunuzi makini anaehitaji awasiliane kwa simu: 0753700821, 0768673704
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom