dalalihalali
Member
- Apr 28, 2016
- 15
- 3
SawaSema kiwanja kinauzwa.
Kiwanja chenye msingi wa nyumba.jipu hilo.
swissme
Kuanzia nne na nusu na Na ni bahat kupata krb na road kuu.Okei, naomba nikuulize dalalihalali, kiwanja cha chini ya 3m karibu na barabara huko chanika vinapatikana?
Nikuuze langu liko Gumba kutoka Chanika barabara ya kwenda Masaki, muhogo unakubali sana. Ni acre tatuAsante dalali,
Ila 17 x 17 aisee
Halafu waambie na washauri wateja wako kwamba wakijenga Nyumba chanika wasisahu kuweka Mkanda wa kati wa zege,maana wanakimbia gharama lakini ni kwa faida yao.Nimejenga huko na kuna tatizo kubwa sana la nyumba kutoa nyufa kwa upande wa Chanika,ila mie nililisoma mapema nikaweka zege chini kama la ghorofa.
Yote kwa yote mazingira ya chanika ni mazuri saana
Hembu niambie kueleke mvuti huo au chanika ndani,mashamba yanafikia kiasi gani?
kuanzia 5 Acre