Nyumba inauzwa Bunju

Nyumba inauzwa Bunju

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Nyumba inauzwa bunju inatazamana na Shamsiye Secondary
Karibuni sana bei nzuri pia mazungumzo yanawezekana....
1477328500941.jpg
 
Sasa maana yakuweka biashara bila Tangazo ni hipi? Nadhani kaweka kila mtu aweke offer yake, otherwise angeweka bei

Mi sijaona mahali popote pale biashara ya kwenye mtandao zinafichwa bei, ni Tanzania tu ndio kuna mambo hayo ya ujingaujinga tu
Haha nimekusoma kiongozi
 
Taja bei mkuu, mbona mnatoa matangazo nusu nusu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom