Nyumba inauzwa boko basihaya mil 85.

Nyumba inauzwa boko basihaya mil 85.

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
95
Habari wana jf nyumba nyumba inauzwa iko boko basihaya sehemu nzuri kabisa ni nyumba inavyumba vitatu vya kulala master moja,chumba cha kusomea, sebule, jiko, sehemu ya kulia chakula, sehemu ya mashine ya kufulia, public toilet na nyumba ina paving block ina fensi maji na umeme nyumba haina hati inakaratasi za serikali haina tatizo yoyote. 0714787795 kwa mawasiliano na picha zipo nyingi hizo ni baadhi ukihitaji nakutumia kwa whatsapp zaidi.
1475243796282.jpg
1475243822642.jpg
1475243846429.jpg
1475243869941.jpg
1475243913665.jpg
1475243951634.jpg
 
Hapo kuna sehemu Maji yanaingia mpaka ndani kabisa. Nashauri wanunuzi muende masika tena siku mvua imekatika.

Unaweza kulia kilio cha samaki
 
Weka na picha za nje,ni nyumba nzuri kwa muonekano wa harakaharaka,ila bei juu kidogo ungeanza na 70m.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom